Jinsi ya Kuunga Maharage na Nazi | Kula na Wali Nazi

Maharage ni mboga inayoliwa sana na inawapenzi wengi ingawa kuna wengi pia hawayapendi ni kwa vile waliyala sana sijui enzi zile kwa sisi tuliosomaga Boarding schools. Leo nimekuletea jinsi ya kupika maharage kwa nazi au…

6 Likes Comment

Jinsi ya Kuchoma Kuku Mzima Katika Jiko la Kufuniaka au Oven

Mapishi ni kitu ambacho nakipenda sana na huwa nakifanya kwa upendo sana. Naamini hata wewe unayesoma utakuwa ni mpenzi wa mapishi. Sasa wakati mwingine unaweza tamani upate kuku wa kuchoma na kuna namna nyingi sana…

2 Likes Comment

Jinsi ya Kupika Ndizi Mbichi Zilizikaangwa na Njegere Ya Nazi

Kuna baadhi ya mapishi huwa ni ubunifu zaidi kuliko recipe; Leo nakuonyesha pishi ambalo hata jina lake bado sijalipata ila soon nitakuwa na jina lake. Pishi hili linahusisha ndizi mbichi zilizo kaangwa alafu zikatumika katika…

1 Like Comment

Jinsi Ya Kupika Ndizi Zilizochomwa Katika Supu ya Nyama Choma

Hii ni moja ya supu au mchemsho utakao kula na ukabaki katika kumbu kumbu zako daima kwa jinsi ilivyo na ladha ya kipekee kabisa. Pishi nililibuni katika kujifunza mapishi mapya katika jamii yetu. Na kusema…

Like Comment

Jinsi ya Kupika Ndizi na Maziwa | Ndizi na Nyama

Ushawahi kula ndizi maziwa wewe? Basi nikwambie tu ni moja ya vyakula makini sana. Na kama ukapika basi walaji watafurahia sana mlo huu wa ndizi maziwa na nyama. Hapa katika maelezo nimetumia ndizi mzuzu mbichi;…

3 Likes Comment

Jinsi Ya Kuchoma Nyama Kitaalam | Nyama Choma

Mimi ni mmoja kati ya wachoma nyama wazuri sana katika tasnia hii ya mapishi. Sasa naona ni vema nikashirikiana nanyi wapenzi wa mapishi na wale wapenzi wa nyama juu ya uchomaji sahihi wa nyama. Hivyo…

4 Likes Comment

Jinsi ya Kupika Uji na Siagi ya Karanga | Peanut Butter Porridge

Leo tupike uji wa kuweka ile siagi ya karanga kwa lugha ingine Peanut Butter; Mahitaji yake marahisi tu. MAHITAJI Unga wa dona au sembe vijiko 3 vya mezani Sukari vijiko 3 vya mezani Siagi ya…

2 Likes Comment

Jinsi ya Kuandaa na Kuchoma Mishikaki ya Figo na Maini

  Mara nyingi tunapata mishikaki ya kuchoma kutoka kwenye nyama kawaida, leo nakuonyesha jinsi ya kuandaa mishikaki ya nyama za ndani yaani maini na figo. Katika hali ya kawaida wala hauhitaji vitu vingi kufanya maandalizi…

3 Likes 1 Comment

Jinsi ya Kupika Yai Kwenye Pilipili Mbuzi | Pilipili Mboga

Pishi hili sio kama mapishi mengine na ndio maana maelezo yake ni ngumu kuyaweka ingawa ni rahisi kulipika ( its more on technical side than a recipe) Hivyo ni vema utazame video yake kwa umakini…

2 Likes Comment

Jinsi ya Kupika Wali Mayai | Nzuri kwa Mchana

Hili ni lile pishi la kivivu kiasi maana ni rahisi sana. Wengi hulifanya asubuhi maana wanatumia kiporo cha wali. Sio lazima iwe ni kiporo waweza pika wali kisha ukishapoa ndio wautumia katika pishi hili la…

4 Likes 3 Comments

Jinsi Kupika Pilau la Kiswahili Kwa Tui la Nazi

Karibuni tena. Yaani mimi jamani huwa pilau langu lazima niweke nazi na huwa linanoga sana. Sasa nimegundua wapinshi wengi huwa hawautumii nazi. Hivyo basi nikaona ni vema niwaonyeshe namna sahihi ya kupika pilau na vilevile…

1 Like Comment

Jinsi ya Kupika Burger ya Yai | Baga la Yai

Najua wengi mmezoea Burger za nyama ila hata za mayai zipo na ni tamu sana. Sasa ndio ivo wajua Burger asili yake sio Afrika na ivo hatuna jina la kiswahili ivo twaweza ila tu Baga….

4 Likes Comment