Giligirani- Coriander, also known as cilantro, Chinese parsley or dhania

Like Comment

 

Ni kiungo kingine kizuri sana na chenye harufu maridhawa sana kitumikapo katika chakula na kachumbali. Kiungo hiki kipo katika mfumo wa majani na mara nyingi hutumika kama majani mabichi ingawa pahala pengine huwa imekaushwa. Waweza kutumi katika mapishi mengi sana katika mboga kwa kuweka baada ya mboga kuiva

You might like

About the Author: Chef Kile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *