Iriki

Like Comment

 

Iriki ni aina nyingine ya kiungo chenye harufu nzuri sana, huwa katika mfumo wa mbegu. Mbali na kuwa na faida nyingi kiafya pia ni kiungo kizuri sana katika vyakula. Kama ilivyo maarufu sehemu za pwani kwa kutumika katika chai, uji na mapishi ya vyakula kama pilau.

You might like

About the Author: Chef Kile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *