Jinsi ya Kukuna Nazi na Kupata Tui Zito

1 Like Comment

Pishi la kupikia na nazi lafaa kukolea sana; sasa ili upate tui zuri lazima ukune nazi kwa uzuri kabisa. Kwa kawaida huwa tunakuna nazi kwa kutumia Kibao cha Mbuzi. Sasa mimi hapa nakuonyesha jinsi ya kutumia kibao na pia kutumia blender ili kupata tui zuri kabisa la nazi. Tazama video hii pata.

You might like

About the Author: Chef Kile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *