Jinsi ya Kupika Yai Kwenye Pilipili Mbuzi | Pilipili Mboga

1 Like Comment

Pishi hili sio kama mapishi mengine na ndio maana maelezo yake ni ngumu kuyaweka ingawa ni rahisi kulipika ( its more on technical side than a recipe) Hivyo ni vema utazame video yake kwa umakini kisha utaona  ni rahisi sana.

MAHITAJI

  • Mayai 2
  • Pilipili Mboga/Mbuzi 2
  • Chumvi kiasi upendacho
  • Mahanjumati masala au mchanganyiko wowote wa viungo
  • Pilipili Hoho – Ile ya kuwasha (Hiyari)

JINSI YA KUPIKA – TAZAMA HII VIDEO HAPA

About the Author: Chef Kile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *