Jinsi ya Kutengeneza Chachandu ya Nazi – Chatni

3 Likes Comment

Chatni – Iliyo tamu sana kula na vitu kama Sammbusa. Wala sio ngumu kutengeneza.

MAHITAJI

  • Machicha ya Nazi Moja
  • Mtindi glass moja na Nusu
  • Chumvi kiasi upendacho
  • Giligilani mbichi
  • Pili pili mbuzi – kiasi cha kuwasha kidogo
  • Maji ya limao

JINSI YA KUTENGENEZA

Changanya vyote kwa pamoja kisha blend them. Baada hapo tayari kwa matumizi.

You might like

About the Author: Chef Kile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *