Jinsi ya Kutengeneza Smooth Ya Mtindi na Embe Dodo

1 Like 2 Comments

Huwa mara nyingi nakosa majina sahihi ya kiswahili kwa hivi vitu vitamu. Mfano ni huu mchanganyiko wa Mtindi na Embe Dodo. Basi kama wajua kiswahili fasaha cha kinywaji hiki.

Ni smooth tamu sana sana ; jaribu kuitengeneza.

MAHITAJI

  • Maziwa ya Mtindi 1/2 lita
  • Embe Dodo Moja – Menya Katakata

JINSI YA KUCHANGANYA

Hapa unachanganya vyote na kuviblend vizuri kabisa ili kupata iwe imelainika sana. Weka katika glasi yako na furahia kinywaji hicho maridhawa.

You might like

About the Author: Chef Kile

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *