Kitunguu Swaumu

1 Like Comment

Kitunguu swaumu ni kiungi chenye harufu kali ila nzuri na ladha yake si nzuri sana ikiwa utakila kibichi. Ila hutumika sana kwenye mapishi na pia kama dawa. Kitunguu swaumu kinafaida nyingi za kiafya hivyo ni vema kukijumlisha katika mapishi yako ya kila siku.

You might like

About the Author: Chef Kile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *