Mdalasini

Like Comment

 

Kiungo hiki chenye harufu maridhawa kabisa hutoka katika magome ya mti na kisha kukaushwa. Miaka ya zamani sana hiki ndio kilikuwa kiungo cha gharama sana. Mbali na kuwa na faida nyingi kiafya pia hutumika sana katika mapishi hususani mikate na vinywaji.

You might like

About the Author: Chef Kile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *