Saladi ya Guacamole

1 Like Comment

Habari wapenzi wa mapishi mazuri kutoka katika blog hii nzuri kabisa ya Chefkile Recipes. Leo nakupa recipe ya kutengeneza salad aina ya Guacamole … hii ni maarufu sana kule Mexico.

MAHITAJI

  • Parachichi 1 – katakata
  • Kitunguu maji 1 – katakata
  • Vitunguu swaumu punje 2 – katakata
  • Chumvi kadri upendavyo
  • Maji ya limao vijiko 2
  • Nyanya 1 – katakata
  • Pilipili kwa hiyari

Katakata na changanyika kila kitu. Weka kwa friji dakika chache na hapo itakuwa tayari kwa kuliwa. Tamu sana hii.

You might like

About the Author: Chef Kile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *