Tangawizi

1 Like Comment

 

Tangawizi ni mzizi utokanao na aina fulani ya maua. Ile mizizi yake ndio tangawizi.
Hutumika ikiwa iko fresh au kavu iliyosagwa.

Hutumika sana kama kiungo katika vyakula na pia kama dawa. Tangawizi hutumika katika vyakula mbali mbalia na hata katika vinywaji mbali mbali. Kumbuka ni nzuri kwa afya pia

You might like

About the Author: Chef Kile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *